Mwanamuziki anayetamba na Album yake ya ‘Peace and Money’ Zuchu ameripotiwa kushika namba moja nchini Zimbabwe kupitia wimbo wake wa Kwikwi. Tovuti ya iCharts imetoa orodha ya ngoma ambazo ...