TANZANIA leo inaadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania bara. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza maadhimisho hayo yafanyike katika ngazi ya mikoa na fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya ...
Wakati Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 63 ya Uhuru, ni wazi kuwa uwezo wa kujenga hoja wa Mwalimu Julius Nyerere ulikuwa kiini cha kufanikisha Uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza Desemba 9, ...
Tanganyika imepata uhuru kamili. Mtoto mwema wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere na wenzake wamewezesha nchi kuwa huru. Ni Desemba 9, 1961. Leo, Desemba 9, 2024, imetimia miaka 63 tangu tukio hilo.
DESEMBA 9, 2024 Watanzania wanaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika huku Tanzania ikifaidi matunda lukuki ya uhuru uliopatikana Desemba 9, 1961 kutoka katika makucha ya Waingereza. Tangu mwaka ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa na Fedha zilizotengwa ...